The Bible › Biblia Takatifu › Proverbs 20
Ni mtego kwa mtu kusema kwa pupa, “ Kitu hiki ni kitakatifu” na kuanza kufikiri juu yake kwamba kina maana gani baada ya kufanya kiapo.
Proverbs 20:25 · Biblia Takatifu
← PreviousRead Proverbs 20Next →
It is a snare to the man who devoureth that which is holy, and after vows to make enquiry.
It is a trap for a man to dedicate something rashly, only later to reconsider his vows.
It is a snare to a man to make a rash dedication, then later to consider his vows.
Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.
22 Usiseme “ Mimi nitakulipiza kwa kosa hili” Msubiri Yehova na yeye atakuokoa.
23 Yehova huchukia mizani isiyo sawa na vipimo vya udanganyifu si vizuri.
24 Hatua za mtu huongozwa na Yehova; namna gani basi ataifahamu njia yake?
25 Ni mtego kwa mtu kusema kwa pupa, “ Kitu hiki ni kitakatifu” na kuanza kufikiri juu yake kwamba kina maana gani baada ya kufanya kiapo.
26 Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu na huligeuza juu yao gurudumu la kupuria.
27 Roho ya mtu ni taa ya Yehova, hutafiti sehemu zake zote za ndani kabisa.
28 Agano la uaminifu na udhamini humhifadhi mfalme; kiti chake cha enzi hufanywa thabiti kwa upendo.
Read Proverbs 20 in the app The whole chapter