The Bible › Biblia Takatifu › Proverbs 20
Agano la uaminifu na udhamini humhifadhi mfalme; kiti chake cha enzi hufanywa thabiti kwa upendo.
Proverbs 20:28 · Biblia Takatifu
← PreviousRead Proverbs 20Next →
Mercy and truth preserve the king: and his throne is upholden by mercy.
Loving devotion and faithfulness preserve a king; by these he maintains his throne.
Love and faithfulness keep the king safe. His throne is sustained by love.
Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.
25 Ni mtego kwa mtu kusema kwa pupa, “ Kitu hiki ni kitakatifu” na kuanza kufikiri juu yake kwamba kina maana gani baada ya kufanya kiapo.
26 Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu na huligeuza juu yao gurudumu la kupuria.
27 Roho ya mtu ni taa ya Yehova, hutafiti sehemu zake zote za ndani kabisa.
28 Agano la uaminifu na udhamini humhifadhi mfalme; kiti chake cha enzi hufanywa thabiti kwa upendo.
29 Utukufu wa watu vijana ni nguvu zao na fahari ya watu wazee ni mvi zao.
30 Mapigo yanayoleta kidonda huusafisha ubaya na vichapo hufanya sehemu za ndani kabisa kuwa safi.
Read Proverbs 20 in the app The whole chapter