The Bible › Biblia Takatifu › Proverbs 22
Mtu mvivu husema, “ Kuna simba mtaani! Nitauwawa sehemu za njia.”
Proverbs 22:13 · Biblia Takatifu
← PreviousRead Proverbs 22Next →
The slothful man saith, There is a lion without, I shall be slain in the streets.
The slacker says, “There is a lion outside! I will be slain in the streets!”
The sluggard says, “There is a lion outside! I will be killed in the streets!”
Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.
10 Mfukuze mbali mwenye dhihaka, na ugomvi utaondoka, mashindano na matukano yatakoma.
11 Anayependa moyo safi na mwenye maneno ya neema, atakuwa rafiki yake mfalme.
12 Macho ya Yehova huyaangalia maarifa, bali huyapindua maneno ya wadanganyifu.
13 Mtu mvivu husema, “ Kuna simba mtaani! Nitauwawa sehemu za njia.”
14 Kinywa cha malaya ni shimo lenye kina kirefu; hasira ya Yehova huchochewa dhidi ya yule anayetumbukia ndani yake.
15 Upumbavu umefungwa katika moyo wa mtoto, lakini marudi ya fimbo huutoa.
16 Anayewanyanyasa watu masikini ili kuongeza mali yake, au kuwapa matajiri, atakuwa masikini.
Read Proverbs 22 in the app The whole chapter