The Bible › Biblia Takatifu › Revelation 22

Revelation 22:21

Neema ya Bwana Yesu iwe na kila mtu. Amina.

Revelation 22:21 · Biblia Takatifu

← PreviousRead Revelation 22

Revelation 22:21 in other translations

KJV King James Version

The grace of our Lord Jesus Christ be with you all. Amen.

BSB Berean Standard Bible

The grace of the Lord Jesus be with all the saints. Amen.

WEB World English Bible

The grace of the Lord Jesus Christ be with all the saints. Amen.

Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.

In context

18 Namshuhudia kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Kama yeyote ataongeza katika hayo, Mungu atamuongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

19 Kama mtu yeyote atayaondoa maneno ya kitabu hiki cha unabii, Mungu ataondoa sehemu yake katika mti wa uzima na katika mji mtakatifu, ambayo habari zake zimeandikwa ndani ya kitabu hiki.

20 Yeye ashuhudiaye mambo haya asema, “Ndiyo! Naja upesi.” Amina! Njoo, Bwana Yesu!

21 Neema ya Bwana Yesu iwe na kila mtu. Amina.

Read Revelation 22 in the app The whole chapter

Search the Scriptures

Choose a translation

KJVBSBWEBNHEBASVYLTDBYWBTBBEEBRGNVDRALUTCANRIVLSGRVABPMYORIGBSWATGLIRV