The Bible › Biblia Takatifu › Proverbs 30
Usiyaongezee maneno haya, au atakukemea, na utathibitishwa kuwa mwongo.
Proverbs 30:6 · Biblia Takatifu
← PreviousRead Proverbs 30Next →
Add thou not unto his words, lest he reprove thee, and thou be found a liar.
Do not add to His words, lest He rebuke you and prove you a liar.
Don’t you add to his words, lest he reprove you, and you be found a liar.
Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.
3 Sijajifunza hekima, wala sina maarifa ya Mtakatifu.
4 Je ni nani amekwenda juu mbinguni na kurudi chini? Je ni nani aliyekusanya upepo kwenye mikono yake? Je ni nani aliyekusanya maji kwenye kanzu? Je ni nani aliyeziimarisha ncha za dunia yote? Jina lake ni nani, na jina la mtoto wake ni nani? Hakika unajua!
5 Kila neno la Mungu limejaribiwa, yeye ni ngao kwa wale wanaokimbilia kwake.
6 Usiyaongezee maneno haya, au atakukemea, na utathibitishwa kuwa mwongo.
7 Vitu viwili ninakuomba, usivikatalie kwangu kabla sijafa:
8 Majivuno na uongo viweke mbali nami. Usinipe umasikini wala utajiri, nipe tu chakula ninachohitaji.
9 Maana nikipata vingi zaidi, nitakukana wewe na kusema, “ Yehova ni nani?” Au kama nitakuwa masikini, nitaiba na kukufuru jina la Mungu wangu.
Read Proverbs 30 in the app The whole chapter