The Bible › Biblia Takatifu › Mark 9
Lakini Yesu alimchukua kwa mkono akamwinua, na mtoto alisimama.
Mark 9:27 · Biblia Takatifu
But Jesus took him by the hand, and lifted him up; and he arose.
But Jesus took him by the hand and helped him to his feet, and he stood up.
But Jesus took him by the hand and raised him up; and he arose.
Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.
24 Ghafla baba wa mtoto alilia na kusema, “ Naamini! Nisaidie kutokuamini kwangu.”
25 Wakati Yesu alipoona kundi linakimbilia kwao, alimkemea roho mchafu na kusema, “wewe roho bubu na kiziwi, nakuamuru mwache, usiingie kwake tena.”
26 Alilia kwa nguvu na kumhangaisha mtoto na roho alimtoka. Mtoto alionekana kama amekufa, Ndipo wengi walisema, “Amekufa,”
27 Lakini Yesu alimchukua kwa mkono akamwinua, na mtoto alisimama.
28 Wakati Yesu alipoingia ndani, wanafunzi wake walimwuliza faragha, “Kwa nini hatukuweza kumtoa?”
29 Aliwaambia, “ kwa namna hii hatoki isipokuwa kwa maombi.”
30 Walitoka pale na kupitia Galilaya. Hakutaka mtu yeyote ajue walipo,
Read Mark 9 in the app The whole chapter