The Bible › Biblia Takatifu › Genesis 4

Genesis 4:3

Ikawa kwamba baada ya muda Kaini alileta sehemu ya mazao ya ardhi kama sadaka kwa Yahwe.

Genesis 4:3 · Biblia Takatifu

← PreviousRead Genesis 4Next →

Genesis 4:3 in other translations

KJV King James Version

And in process of time it came to pass, that Cain brought of the fruit of the ground an offering unto the LORD.

BSB Berean Standard Bible

So in the course of time, Cain brought some of the fruit of the soil as an offering to the LORD,

WEB World English Bible

As time passed, Cain brought an offering to the LORD from the fruit of the ground.

Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.

In context

1 Mwanume akalala na Hawa mke wake. Akabeba mimba na akamzaa Kaini. Akasema, “ nimezaa mwanaume kwa msaada wa Yahwe.”

2 Kisha akazaa ndugu yake Habili. Sasa Habili akawa mchungaji, lakini Kaini alilima udongo.

3 Ikawa kwamba baada ya muda Kaini alileta sehemu ya mazao ya ardhi kama sadaka kwa Yahwe.

4 Habili pia, alileta sehemu ya wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona. Yahwe akamkubali Habili pamoja na sadaka yake,

5 lakini Kaini pamoja na sadaka yake Mungu hakuikubali. Kwa hiyo Kaini alikasirika sana, na uso wake ukakunjamana.

6 Yahwe akamwambia Kaini, “ kwa nini umekasirika na kwa nini uso wako umekunjamana?

Read Genesis 4 in the app The whole chapter

Search the Scriptures

Choose a translation

KJVBSBWEBNHEBASVYLTDBYWBTBBEEBRGNVDRALUTCANRIVLSGRVABPMYORIGBSWATGLIRV