The Bible › Biblia Takatifu › Acts 7

Acts 7:53

enyi watu mliopokea sheria ile iliyoagizwa na malaika lakini hamkuishika.”

Acts 7:53 · Biblia Takatifu

← PreviousRead Acts 7Next →

Acts 7:53 in other translations

KJV King James Version

Who have received the law by the disposition of angels, and have not kept it.

BSB Berean Standard Bible

you who received the law ordained by angels, yet have not kept it.”

WEB World English Bible

You received the law as it was ordained by angels, and didn’t keep it!”

Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.

In context

50 Siyo mkono wangu uliofanya hivi vitu vyote?'

51 Enyi watu wenye shingo ngumu msiotahiriwa mioyo na masikio, kila mara mnampinga Roho Mtakatifu,' mnatenda kama baba zenu walivyotenda.

52 Ni nabii gani katika manabii ambaye baba zenu hawakumtesa?. Waliwaua manabii wote waliotokea kabla ya ujio wa Mmoja mwenye Haki,'na sasa mmekuwa wasaliti na wauaji wake pia,

53 enyi watu mliopokea sheria ile iliyoagizwa na malaika lakini hamkuishika.”

54 Kisha wajumbe wa baraza waliposikia mambo haya, walichomwa mioyo yao, wakamsagia meno Stefano.

55 Lakini yeye, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alitazama mbinguni kwa makini na akauona utukufu wa Mungu,' na kumwona Yesu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

56 Stefano akasema, “Angalia nimeona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adam amesimama mkono wa kuume wa Mungu.”

Read Acts 7 in the app The whole chapter

Search the Scriptures

Choose a translation

KJVBSBWEBNHEBASVYLTDBYWBTBBEEBRGNVDRALUTCANRIVLSGRVABPMYORIGBSWATGLIRV