The Bible › Biblia Takatifu › 2 Chronicles 24

2 Chronicles 24:2

Yoashi alifanya yaliyo mema katika macho ya Yahwe siku zote za Yehoyada, yule kuhani.

2 Chronicles 24:2 · Biblia Takatifu

← PreviousRead 2 Chronicles 24Next →

2 Chronicles 24:2 in other translations

KJV King James Version

And Joash did that which was right in the sight of the LORD all the days of Jehoiada the priest.

BSB Berean Standard Bible

And Joash did what was right in the eyes of the LORD all the days of Jehoiada the priest.

WEB World English Bible

Joash did that which was right in the LORD’s eyes all the days of Jehoiada the priest.

Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.

In context

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala; akatawala kwa mika arobaini katika Yerusalemu. Jina la mama yake aliitwa Sibia wa Beer-sheba.

2 Yoashi alifanya yaliyo mema katika macho ya Yahwe siku zote za Yehoyada, yule kuhani.

3 Yehoyada akajichukulia wake wawili kwa ajili yake, na akawa baba wa wana na mabinti.

4 Ikawa baada ya haya, kwamba Yoashi aliamua kuitengeneza nyumba ya Yahwe.

5 Akawakusanya pamoja makuhani na Walawi, na kusema kwao, “ Nendeni nje kila mwaka kwenye miji ya Yuda na kukusanya fedha kutoka Israeli yote kwa ajili ya kuikarabati nyumba ya Mungu wenu. Hakikisheni kwamba mnaanza haraka.” Walawi hawakufanya kitu kwanza.

Read 2 Chronicles 24 in the app The whole chapter

Search the Scriptures

Choose a translation

KJVBSBWEBNHEBASVYLTDBYWBTBBEEBRGNVDRALUTCANRIVLSGRVABPMYORIGBSWATGLIRV