The Bible › Biblia Takatifu › 1 John 5

1 John 5:21

Watoto wapenzi, jiepusheni na sanamu.

1 John 5:21 · Biblia Takatifu

← PreviousRead 1 John 5

1 John 5:21 in other translations

KJV King James Version

Little children, keep yourselves from idols. Amen.

BSB Berean Standard Bible

Little children, keep yourselves from idols.

WEB World English Bible

Little children, keep yourselves from idols.

Every translation above is public domain and free to share. Other versions — NIV · ESV · NKJV · NLT · NASB · CSB · AMP — are copyrighted and open on their publishers’ partner site.

In context

18 Tunajua ya kuwa aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi. Bali aliyezaliwa na Mungu hutunzwa naye salama daima, na yule mwovu hawezi kumdhuru.

19 Tunajua kuwa sisi ni wa Mungu na tunajua kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu.

20 Lakini twajua kwamba Mwana wa Mungu amekuja na ametupatia ujuzi, kwamba tunamjua yeye aliye kweli na kwamba tumo ndani yake yeye aliye kweli, hata katika Mwanawe Yesu Kristo. Ni Mungu wa kweli na uzima wa milele.

21 Watoto wapenzi, jiepusheni na sanamu.

Read 1 John 5 in the app The whole chapter

Search the Scriptures

Choose a translation

KJVBSBWEBNHEBASVYLTDBYWBTBBEEBRGNVDRALUTCANRIVLSGRVABPMYORIGBSWATGLIRV